FAHAMU UTARATIBU WA KUBADILISHA TAARIFA ZA NIDA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 410
Meneja usajili na utambulizi mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA Yohana Kiyoya amesema mabadiliko ya taarifa ya kitambulisho cha Taifa ni kwa kibali maalum cha mwaka mmoja kuanzia mwezi Oktoba kwa taarifa ambazo zinabalika kisheria.
Aidha, Mkurugenzi wa huduma za sheria mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA Jackline Mosha amesema anayeghushi taarifa za kitambulisho cha Taifa anatakiwa kuandika barua kukiri amedanganya kwa kibali maalum cha mwaka mmoja.
Kiyoya na Mosha wamesema hayo katika #MorningExpress
#Ufmupdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: