MAJESHI ya IRAN YASEMA YAKO TAYARI KUIKABILI MAREKANI BAADA ya TRUMP KUTUMA MELI za KIVITA 📍IRAN
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 4094
MAJESHI ya IRAN YASEMA YAKO TAYARI KUIKABILI MAREKANI BAADA ya TRUMP KUTUMA MELI za KIVITA 📍IRAN
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC), Meja Jenerali Mohammad Pakpour, amesema vikosi vya IRGC vina “kidole juu ya kitufe cha kufyatua risasi” na viko tayari zaidi kuliko wakati mwingine wowote kutekeleza amri za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akitoa onyo kali kwa Marekani na Israel dhidi ya kufanya makosa ya kimahesabu.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: