Ukiwa na magodoro na masofa haya, sahau matatizo haya ya afya
Автор: Bongo5
Загружено: 2017-10-19
Просмотров: 6872
Jumatano hii kampuni ya Famous Furniture ilizindua duka lake la kwanza nchini Tanzania lililopo Milimani City jijini Dar es salaam ambalo linauza magodoro na sofa yenye uwezo wa kumfanya mtumiaji kuepuka maradhi mbalimbali ambayo yanatokana na kukosa usingizi pamoja na mgongo kutonyooka vizuri.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: