Ni zipi athari za siasa za Trump? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 1133
Rais Donald Trump aliingia madarakani kwa kujinadi kuwa atakuwa kiongozi mwenye kuleta amani duniani. Lakini hata kabla ya kuingia madarakani tayari ulimwengu ulikuwa na wasiwasi na kitakachotokana na utawala wake huu wa pili.
Sera yake ya Amerika kwanza imeubadili ulimwengu kuelekea mahusiano ya nchi hiyo na mataifa ya dunia, biashara, sera ya mazingira na hata kisiasa. Je ulimwengu unaweza kuendelea kuvumilia sera za kiongozi huyo? Tumewaalika waandishi wa habari #Jamhuri #Mwavyombo na #Mubelwa #Bandio kulijadili hili. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: