Zaburi za Kusikiliza Unapolala | God’s Word for Peaceful Sleep & Calm
Автор: Mimi Na Mungu
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 64
Zaburi hizi za amani na ulinzi zimechaguliwa kukusaidia kupata peace of mind, restful sleep, na spiritual comfort.
Ni Psalms za kutuliza mawazo, kupunguza anxiety, na kukusaidia kuweka God at the center of your thoughts.
Unaweza kusikiliza Psalms hizi unapolala (sleeping), wakati wa chores, ukiwa njiani kwenda kazini (on your way to work), wakati wa mazoezi (exercise) au hata ukiwa unapumzika tu.
Hauhitaji kulala ili kufaidika — God’s Word works anytime, anywhere.
Listening to Psalms regularly huleta amani moyoni, ulinzi juu yako na familia yako, na favour katika maisha yako ya kila siku.
Ni maneno ya Biblia yanayofunika nyumba yako, yanatuliza roho, na kuleta calmness hata wakati wa stress.
🎧 Cheza kwa sauti ya chini, relax, na ruhusu Psalms ziwe background ya usingizi wako au shughuli zako za kila siku.
Iwe ni usiku au mchana, Neno la Mungu lina power ya kuleta peace, protection, na rest.
🙏 May God’s peace, protection, and favour rest upon you and your family.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: