Jinsi ya Kuandika NUKUU kwenye Picha kwa Photoscape | How To Write QUOTES on a Picture by Photoscape
Автор: Mwalimu Bassu
Загружено: 2020-08-05
Просмотров: 580
Karibu katika Group letu la ELIMU YA KOMPYUTA Bure
https://chat.whatsapp.com/Gb9VZRlTIGr...
==
Jinsi ya Kuandika NUKUU kwenye Picha
Jinsi ya Kuandika NUKUU kwenye Picha kwa Photoscape | How To Write QUOTES on a Picture by Photoscape
Katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita, inchi yetu ya Tanzania imeshuhudia ONGEZEKO kubwa sana la WASOMI. Wengi wakitumia elimu yao katika vyombo mbalimbali kuielimisha jamii UJUZI na MAARIFA mbalimbali muhimu Wakitumia maandishi, sauti, michoro mbalimbali na video.
Katika Video hii tutajifunza “JINSI YA KUANDIKA NUKUU MBALIMBALI KWENYE PICHA kwa Photoscape”.
Karibu sana.
LINK: • Jinsi ya Kuandika NUKUU kwenye Picha kwa P...
“Roads are the blood vessels of the economy.”
-Jakaya Mrisho Kikwete (Fourth President of The United Republic of Tanzania)
“Barabara ni mishipa ya damu ya uchumi.”
-Jakaya M. Kikwete
“Action is the most Important Key to any success”
“Matendo ni ufunguo wa muhimu zaidi kwa mafanikio yoyote”
-Tony Robbins
Tumetafsiri kwa Google Translate
https://translate.google.com/
==
#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #NUKUU
PROGRAM
http://www.photoscape.org/ps/main/dow...
===
Picha ya Barabara
https://www.pexels.com/photo/empty-hi...
Picha zenye Jumbe (NUKUU) Mbalimbali
https://www.fahamuhili.com/
https://www.pinterest.com/
VIDEO ZINGINE ZA MWALIMU BASSU
KARIBU Katika Somo la Kwanza Tujifunze “COMPUTER HARDWARE kipengele cha INPUT DEVICES”.
LINK: • SOMO LA KWANZA | Computer Hardware | INPU...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: