Swanga_Knowledge & Movement HipHop Cypher 2021(Vol 1)
Автор: Swanga Theconsciousmindtz
Загружено: 2021-04-15
Просмотров: 183
KNOWLEDGE AND MOVEMENT
Ni rahisi kutoa elimu kwa jamii kupitia Hip Hop /Rap ambao humpa nafasi Hadhira ya kusikiliza, kuburudika, Kuelimika na kujikosoa kwa wakati mmoja. Unapaswa kutambua kuwa, Hip hop/Rap Ina nguvu na athari kubwa zaidi kwa jamii kuliko njia yeyote ile ya Uelimishaji.
.
Movement Hip-hop cypher 2021,Ambayo Imezungumzia Mambo Mengi Sana Nakupinga Dhana Potofu Ya Utamadini Huu Wa Hiphop Kuhusishwa Na Uhuni Uliokithiri Katika Jamii Yetu, Tunakuomba Support Yako Ya Kusambaza Taarifa Hii Ili Elimu Ikapate Kufika Mbali Zaidi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: