Je, kauli mbiu ya Chadema: 'Bila Marekebisho, Hakuna Uchaguzi' ni uchochezi Tanzania? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-04-12
Просмотров: 36564
Kauli mbiu ya Chadema nchini Tanzania inayosema 'Bila Marekebisho ya Mfumo wa uchaguzi, basi Hakuna Uchaguzi' inaonekana kuzusha joto la kisiasa nchini Tanzania. Swali kuu ni je kauli mbiu hiyo ni wito sahihi wa kisiasa au ni uchochezi wa kisiasa? Sikiliza maoni ya wachambuzi mbele ya Meza ya Duara. Nahodha ni Mohammed Khelef. #dwkiswahili #maoni #mbeleyamezayaduara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: