Wananchi wapata fursa ya vipimo vya moyo katika maonesho ya madini Geita
Автор: Taasisi ya Moyo TV
Загружено: 2025-09-22
Просмотров: 82
Wananchi wa mkoa wa Geita wameombwa kujitokeza kupata vipimo na matibabu ya magonjwa ya moyo katika Maonesho ya Nane ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya Maonesho vya Dkt. Samia Suluhu Hassan vilivyopo mjini Geita.
Wito huo umetolewa leo na daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Henry Mayala wakati akizungumza na waandishi wa habari waliofika katika banda la taasisi hiyo lililopo katika maonesho hayo yanayoendelea mkoani Geita.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: