AFYA || Watoto wenye vichwa vikubwa || Daktari bingwa wa upasuaji ubongo afunguka
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-03-16
Просмотров: 862
Tanzania ni moja ya nchi zinazokabiliana na watoto wanaozaliwa na matatizo ya kuwa na vichwa vikubwa sambamba na mgongo wazi.
Je, chanzo cha magonjwa hayo ni kipi na matibabu yake yakoje?
Daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo nchini Maingaya Kaale anatolea ufafanuzi wa kina.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: