THE JUNGLE FIGHT | Pambano lote Katompa ampiga tena Dullah Mbabe – 25/11/2023
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-11-25
Просмотров: 272502
Tazama pambano lote Eric Katompa kutoka DR Congo akimshinda kwa mara nyingine bondia Mtanzania, Dullah Mbabe kwenye pambano lililofanyika jijini Arusha.
Ushindi wa Katompa ni kutokana na uamuzi wa majaji wote watatu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: