Day 07/30, Nafasi ya Kazi na Bidii katika kuleta nyakati za kuburudihwa, ABC GLOBAL
Автор: PASTOR IBRAHIM AMASI
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 440
#pastorIbrahimAmasi #abcglobalkahama
Karibu sana | Thanks for Join us
You are warmly welcome, with many thanks.
Askofu Ibrahim Amasi anayetumika chini ya Askofu mkuu wa makanisa ya Abc dunia Bishop Dickson Cornel kabigumila ambaye Mungu amemjalia hekima ya kuleta majibu karibu kwenye kila Eneo la maisha [afya, uchumi, ndoa, mahusiano, kiroho] ni mwalimu mzuri wa Neno la Mungu, Nguvu za Mungu pamoja na shuhuda mbali mbali zinazoambatana na kazi hii ya Mungu anayoiwajibikia.
Bishop Ibrahim Amasi, who serves under the Archbishop of ABC Global Churches, Bishop Dickson Cornel Kabigumila, whom God has endowed with the wisdom to bring answers to almost every area of life [health, economy, marriage, relationships, spirituality], is a good teacher of the Word of God, the Power of God, and various testimonies that accompany this work of God that he is responsible for.
Kwahio unakaribishwa kufuatilia baadhi ya vyanzo mbali mbali vyenye mafundisho yake.
Therefore, you are welcome to follow some of the various sources with his teachings.
Muda mafundisho yanapanda hewani ni kama
Kila siku kuanzia saa 2:00 usiku
Mafundisho kwa njia ya waraka facebook
Kila siku kuanzia saa 4+ Asubuhi.
Mafundisho mengine yanapatikana whatsapp kwa ratiba za huko.
Kama utahitaji kujiunga na groups za mafundisho.
Tuma Text whatsapp kwa Namba +255 763 706 469.
Tiktok Account
https://vm.tiktok.com/ZMHv2wDWGXwyN-E...
Jina: Pastor ibrahim Amasi
Facebook Page
https://www.facebook.com/profile.php?...
Jina: Pastor Ibrahim Amasi
Youtube Account
/ @livingwordjesus1936
Jina: Pastor Ibrahim Amasi
Instagram Account
https://www.instagram.com/pastor_ibra...
Kama una shuhuda usisite kuwasilisha kupitia namba hii
0612536469 kwa utaratibu ufuatao
Jina kamili............
Mahali ulipo sasa..........
Kutokea mtandao gani..........
Shuhuda................
Elezea kwa kifupi ili isomwe (utapigiwa simu na utaeleza zaidi).
Weka # hashtag kwenye Mtandao na shuhuda Lengwa 👇
Mfano; Mimi Ana geofrey kutoka Arusha mjini, ninafuatilia katika mtandao wa #Youtube. Ninabarikiwa sana na mafundisho yako tangu nianze kufuatilia #tabia zangu zimebadilika Jumla (hasira). Nashukuru sana kwa huduma hii
Mungu azidi kukuinua.
Kindly welcome
LivingWord
Pastor Ibrahim Amasi
Jina: Pastor Ibrahim Amasi
Karibu kufuatilia semina na ibada zetu mbali mbali.
SADAKA
Unaweza kutumia mifumo hii katika kuwasilisha sadaka yako.
0152513149300 CRDB
IBRAHIM MARTIN AMASI
0763706469 - MPESA
IBRAHIM AMASI
0612536469 - HALOPESA
IBRAHIM AMASI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: