Mauzauza ya ukodishaji visiwa Zanzibar, baadhi ya mapato yake yatakutowa machozi
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2022-06-19
Просмотров: 7420
Zanzibar inafanya uwekezaji kwenye visiwa vidogo. Uwekazaji huu umeanza katika awamu zilizopita na sasa serikali ya awamu ya nane nayo inaendeleza zoezi la kuvikodisha. Lakini unakijua kilichopatikana tangu vianze kukodishwa? Msikilize Waziri Mudrik Soraga akieleza uwekezaji ulivyofanyika na unavyoendelea kufanyika.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: