Je, Joseph Kabila atamaliza vita vya M23 huko DRC? Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: Streamed live 19 hours ago
Просмотров: 16,088 views
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila anatarajiwa kurejea nchini humo, akisema kurejea kwake ni kwa nia ya kusaidia kutafuta suluhu ya kudumu kwa mzozo unaoendelea mashariki mwa DRC. Kurejea kwake kuna maana gani kwa taifa hilo?
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: