FR GUERSCHOM MALOBA, NAPATA YOTE KWAKO.
Автор: GUERSCHOM MALOBA OFFICIEL
Загружено: 2023-11-13
Просмотров: 110338
NYIMBO ZA WOKOVU NUMÉRO 09
NAPATA YOTE KWAKO
Indirimbo ya 9 mu NYIMBO ZA WOKOVU
1Naiamini damu yako na msalaba wako, Yesu, Mwokozi wangu wa pekee, napata yote kwako.
Uliyoyaahidi na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi; napata yote kwako.
2Kwa damu nimetakasika, na mto wa uzima wako waniletea nguvu tele, napata yote kwako.
3Nafungwa kwa upendo wako, njiani unaniongoza, na katika hatari zote napata nguvu kwako.
4Ninakupenda, Bwana Yesu, wanisikia niombapo, wanipa jibu la maombi, napata yote kwako.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: