KUOKA KEKI NA KUCHOMA NYAMA KWENYE MICROWAVE
Автор: Cities & Flavors
Загружено: 2022-06-16
Просмотров: 5606
Microwave aina za convection zinauwezo wa kuoka keki na kuchoma nyama. Watu wengi hawafahamu kutumia microwave zao vizuri, na huwa wanatumia kuzipasha tu.
Hakikisha unaangalia video hii mpaka mwisho ili kufahamu jinsi ya kutumia Microwave kuoka keki na kuchoma nyama
Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike!
kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na kusubscribe kwenye channel yetu.
Asanteni sana na karibuni wote.
Instagram Page link: / fundi_dsm
Facebook page link: / bombaywallla
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: