SAKA - theKenyanTroublers ft Adypasco,Dtato,GECKHOBOY
Загружено: 2025-08-13
Просмотров: 446
Stream on every platform of your wish:
https://push.fm/fl/cwbmxjz0-30736
Sound Production: OSVE STUDIOS (OsuwoJr)
Video Production: Wiser Arts: https://linktr.ee/denismawira243
Shot by Wiser Arts & Oshmo Kodeine
Copyrighted to:theKenyanTroublers
Follow the artists:
theKenyanTroublers: https://linktr.ee/thekenyantroublers
Adypasco: https://linktr.ee/adypasco
Dtato: https://linktr.ee/WanadisGang
GECKHOBOY: https://linktr.ee/geckhoboy
Thanks to talents;
Trigger Happy: / @triggerhappyke
Davela Wa Kayole: / @davelawakayole
WiserArts
Oshmo Kodeine: / @o.sh.mo_kodein
Lutherboy: / @lutherboy
Lyrics:
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Mi nasaka dooh hii Nairobi si mahoe
CBD so Niko zone utapata nareform
Kusaka doh Bora mboka na kwa grao nimejistone
Wanakuja ryme game nika wadondosha kingstone
To me kama stoner na mistari zimechanjwa
Watusaka kama billboard ya sakaja
walitaka wasunde carpet ju mwenyewe hawana haja
Wakibark nawapiga transfer ni kwa baber
Riba bora mkwanja tunaipiga faster
Kwa wallpaper ya Ady Pasco nikicheza kwa saca
Juy kusasakata sasa
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Sai tuko tao tuna sa sa sakaa
Hizi madolar sunajua tunataka
Hizi makwela bdo tena siufwata
Lkn siku moja sunajua tutapata
Tunasiakaa kini ,wera ndo pattern
Natunaroga toka tena tuko hapa
TuNaisaka kini ,wera ndo pattern
Natunaroga toka tene tuko hapaa
Si Ndo wagazla
Tato ndo papa
Gara believe kujituma kujikaza
Ju hakuna mboka si n zote tunachapa
Ready for this
Afu nikifunga chapter
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Wanatambua Roro wote wanachora saba(shuuu)
Na sita sita things zisiget Messy(tisa)
Enzi wa Nani,ningeuliza nani,ni wa nani?
But saa hii bila ring,inaring a single chick(Aki ya nani!)(tick)
Niko kwa chuom na ball
Wanauliza mbona niko rough no fair play
Ni life!
No extra time,
Delay!
Ukibabaika,utaitika penalty ukigongwa
Offside,offguard VAR akii utabondwa
No injury,Yellow card sleki unatokwa
CBD tunabidii,inabidii tufaidii,juu gaidi anadai mandai kaa Defender
Na after this nipige goal wakuje kimahat tricks
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Saa hii tuko tao tuna sa sa saka
Ndio tu ball kama sa sa Saka
Madem wako dancefloor wana sa sa-kata
Ndio after this wapewe sa sa sadaka
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: