Baada ya Derby Mashabiki mbalimbali bado waendelea ufunguka mtaani
Автор: Malkiachoicemedia
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 45
Mashabiki mbalimbali wameendelea kufunguka baada ya Derby ya kariakoo
iliyowaleta pamoja mahasibu na watani wa jadi Tanzania timu ya Simba Sc
na Yanga Sc.
Mashabiki wametoa maoni yao mbalimbali kutokana na mengi yaliyotokea kwenye
mechi hiyo iliyoibua hisia mbalimbali Nchini huku Simba Sc wakidondokea pua
kwa kuruhusu goli moja kwa mtungi kutoka kwa Yanga Sc.
Ikumbukwe goli pekee la Yanga liliwekwa wavuni na mshambuliaji Pakome.
#sportshub
#Malkiaupdates
#ChaguoLaMalkia
#MalkiaChoiceFm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: