NILIKUBALI KULALA NA NYOKA ILI NIWE TAJIRI… SIKUJUA MWISHO WAKE
Автор: SIMULIZI HUB
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 29610
Je, unaweza kukubali kulala na NYOKA ili tu uwe tajiri..? 🐍💸
Hii ni simulizi ya kutisha ya Juma, kijana aliyekataa umasikini… akakubali masharti ya mganga, akaingia kwenye agano la NYOKA wa utajiri.
Katika episode hii ya kwanza utaona:
Safari ya kwenda kwa mganga wa porini
Masharti ya kichawi ya kupata pesa nyingi kwa kafara
Kuonekana kwa nyoka mkubwa wa utajiri
Juma kuanza kupata mafanikio ya ajabu… mpaka usiku wa kwanza kulala na nyoka chumbani
⛔ ONYO: Hii ni simulizi ya kuburudisha na kutoa mafunzo.
Hatupendekezi, hatuhamasishi wala kuunga mkono imani za kishirikina, uchawi au kafara za aina yoyote.
Lengo ni kukuonya juu ya tamaa ya mali za haraka na nguvu za giza.
Kama umefika hapa, subscribia channel 👉
👉 Tia LIKE, ANDIKA comment yako, tuambie:
Wewe ungechagua nini? Umasikini wa kawaida… au utajiri wa kulala na nyoka?
#simulizi #simulizizaKutisha #uchawi #nyoka #maliZakishirikina #UTAJIRIWANYOKA #simuliziHub #utajiriwanyoka #nyokawakichawi #nyoka #nuchawiwanyoka #pesazakafara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: