Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

SABRA MACHANO (CHIPS CHAFU) AFUTIWA SHUTUMA, AREJESHWA KAZINI

Автор: Zanzibar Daily

Загружено: 2023-08-15

Просмотров: 6848

Описание:

TAKRIBANI miaka Mitatu baada ya kusimamishwa kazi kwa tuhuma za Ubadhirifu wa mali ya umma, aliekuwa Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii Zanzibar Sabra Issa Machano hatimae amefutiwa tuhuma zinazomkabili pamoja na kutakiwa kurejea kazini.

Sabra Issa Machano alishtumiwa na kusimamishwa kazi kwa kile kinachaodaiwa Ubadhirifu wa Mali za Umma katika utekelezaji wa baadhi ya Miradi mbalimbali ya Serikai pamoja na upotevu wa Fedha kiasi cha Shilingi Bilion Tatu.

Akizungumza kwa Mara ya Kwanza leo na CLOUDS TV amesema kuwa, amefurahishwa baada ya kupokea taarifa za kukamilika kwa Uchunguzi na kutoonekana na shutma ambazo zilikuwa zinamkabili na kupelekea kusimamishwa kazi kwa takribani miaka Mitatu.

Amesema kuwa, tayari amepokea barua kutoka taasisi mbalimbali za serikali ambazo zinaonyesha kutokuhusika na shutuma hizo za upotevu wa fedha za Bilioni tatu katika mradi wa ukarabati wa Jumba maarufu visiwnai Zanzibar linajulikana kwa jina la Jumba la Treni (Chawl Building) ambalo liligahrimu Bilioni kumi na tatu

"Nimepokea Barua kutoka Ofisi ya Rais Ikulu ambayo inathibitisha kuwa sina Hatia kwa tuhuma ambazo zilikuwa zinanikabili hapo awali," amesema.

"Nmefurahi na hapa nimpongeze Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi kwa sasa Shutma ambazo zilikuwa zinanikabili zimefutwa na sina hatia," ameongeza.

Sabra amesema kupitia sakata hilo amejifunza mambo mbalimbali lakini pia imekua sehemu ya fursa kwake baada ya kusimamisha kazi kwa kuanzisha Taasisi yake inayotetea na kusimamia masuala ya wanawake pamoja na kufungua biashara zake

Akizungumzia kuhusu msimamo wake wa kurudi katika utumishi wa umma amesema licha ya barua hiyo kutoelekeza kituo cha kazi anachotakiwa kurudi lakini yeye atakua tayari kuendelea kutumikia serikali katika kazi yoyote atakayopangiwa na mamlaka za utumishi

SABRA MACHANO (CHIPS CHAFU) AFUTIWA SHUTUMA, AREJESHWA KAZINI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

UJENZI WA FLYOVER ZNZ, WAPAMBA MOTO, WAVAMIZI WA MAENEO,

UJENZI WA FLYOVER ZNZ, WAPAMBA MOTO, WAVAMIZI WA MAENEO, "HALIPWI MTU HATA 100"

JIMWAGE KAMA MCHELE, MANENO YA DOKTA KUMBUKA “KUWA TEGEMEZI KWA MUNGU

JIMWAGE KAMA MCHELE, MANENO YA DOKTA KUMBUKA “KUWA TEGEMEZI KWA MUNGU"

🔥В Москве НАЧАЛАСЬ ЖАРА! МАССОВЫЙ НАЛЕТ дронов: россияне ВОЮТ! Такой ПАНИКИ еще НЕ БЫЛО @ВОТЧТО

🔥В Москве НАЧАЛАСЬ ЖАРА! МАССОВЫЙ НАЛЕТ дронов: россияне ВОЮТ! Такой ПАНИКИ еще НЕ БЫЛО @ВОТЧТО

MZEE MACHANO: NILIKUWA NAFUNGWA KILA ZIKIKARIBIA SHEREHE ZA MAPINDUZI/ TULIANZISHA CUF

MZEE MACHANO: NILIKUWA NAFUNGWA KILA ZIKIKARIBIA SHEREHE ZA MAPINDUZI/ TULIANZISHA CUF

Headline sa Hapon | DZMM Teleradyo (12 December 2025)

Headline sa Hapon | DZMM Teleradyo (12 December 2025)

"DUTERTE DYNASTY": ENDGAME NA SOON!??

Llamas: Mga Duterte, masasandal sa isang ‘corner’ | Sa Totoo Lang

Llamas: Mga Duterte, masasandal sa isang ‘corner’ | Sa Totoo Lang

Срочно! ДИКОЕ решение Путина по Донбассу. Эрдоган ЖЁСТКО КИНУЛ Кремль! В России КАТАСТРОФА. ЭЙДМАН

Срочно! ДИКОЕ решение Путина по Донбассу. Эрдоган ЖЁСТКО КИНУЛ Кремль! В России КАТАСТРОФА. ЭЙДМАН

PART 2: TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO MAKONDA/ ASHUGHULIKIWE/ WASITUTISHE/ NANI MACHAWA?

PART 2: TUNDU LISSU AMUWASHIA MOTO MAKONDA/ ASHUGHULIKIWE/ WASITUTISHE/ NANI MACHAWA?

HATIMAE MKURUGENZI SABRA MACHANO AIBUKA NA JAMBO KUBWA KULIKO ZANZIBAR

HATIMAE MKURUGENZI SABRA MACHANO AIBUKA NA JAMBO KUBWA KULIKO ZANZIBAR

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 24/07/2024

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 24/07/2024

'Huwag maging matapobre:' Llamas fires back at Guanzon over mall altercation | (09 December 2025)

'Huwag maging matapobre:' Llamas fires back at Guanzon over mall altercation | (09 December 2025)

💥 РФ атаковала Одесчину: есть пострадавшие, перебои с электричеством | Оперативные новости. День

💥 РФ атаковала Одесчину: есть пострадавшие, перебои с электричеством | Оперативные новости. День

EXCLUSIVE:Changamoto zinazowakuta wanawake wenye kipato/nafasi kubwa kuliko waume zao/ SABRA MACHANO

EXCLUSIVE:Changamoto zinazowakuta wanawake wenye kipato/nafasi kubwa kuliko waume zao/ SABRA MACHANO

NDOA YANGU ILIDUMU MIEZI 10 TU! Nikaenda kuisajili Talaka yangu Mahakamani! ''SABRA MACHANO''

NDOA YANGU ILIDUMU MIEZI 10 TU! Nikaenda kuisajili Talaka yangu Mahakamani! ''SABRA MACHANO''

ЗЕЛЕНСКИЙ СКАЗАЛ

ЗЕЛЕНСКИЙ СКАЗАЛ "НЕТ": Украина сорвала планы Кремля! СДЕЛКА С ПУТИНЫМ — ЛОВУШКА

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

🔴 Сидеть и МОЛЧАТЬ! РФ выдавили из мирного процесса по Украине

🔴 Сидеть и МОЛЧАТЬ! РФ выдавили из мирного процесса по Украине

SABRA MACHANO ASEMA SABABU ZA KUACHIKA KWAKE/AWAJIA JUU WANAENDA NJE NA MUDA

SABRA MACHANO ASEMA SABABU ZA KUACHIKA KWAKE/AWAJIA JUU WANAENDA NJE NA MUDA

KISA CHA SABRA MACHANO KUPOTEA MITANDAONI KWA MDA - AWEKA SABABU KUU HAPA

KISA CHA SABRA MACHANO KUPOTEA MITANDAONI KWA MDA - AWEKA SABABU KUU HAPA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]