Mashujaa FC 1-1 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 18/09/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-20
Просмотров: 5996
Ilikuwa ni vita ya majeshi (JWTZ vs JKT) mechi ya Ligi Kuu ya NBC ikimalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.
Haya hapa magoli yote mawili, akianza Mundhir Vuai dakika ya 78 lakini Paul Peter Kasunda akajibu mapigo dakika ya 86 kwa header kali.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: