KAZI KWA NYOTA YA NGE(HT).
Автор: Mgeta official
Загружено: 2024-09-07
Просмотров: 1547
Katika video hii tutajadili shughuli zote wanazopaswa kufanya watu wenye nyota ya NGE, tulisema nyota ya nge inahusisha watu ambao majina yao yanaanza na herufi (H) au herufi (T).
Pia tulijadili kwamba nyota ya nge inapatikana katika bara la kusini ambalo asili yake ni maji.
Katika video hii tutajadili shughuli zote wanazopaswa kufanya watu hawa.
Subscribe, comment, like, share video hii kwa watu wengine.
#astrology #nyota #challenge #africa #uvuvi #mafanikio #mystics #sprituality #majinbuu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: