Waziri Mkuu anazungumza na Wamachinga, Madereva pikipiki na Bajaji
Автор: OFISI YA WAZIRI MKUU
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 1001
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ni mgeni rasmi katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria
Mkutano huo umefanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: