Mbwembwe za 2017
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2017-01-01
Просмотров: 1585
Maelfu ya watu walijitokeza katika maeneo mbali mbali humu nchini kukaribisha mwaka 2017 kwa namna yake …Naibu wa rais William Ruto na mkewe waliongoza baadhi ya wabunge kwa tamasha ya maombi huko Eldoret.
Wengi wakiomba kuwepo kwa amani katika mwaka huu ambako kenya itafanya uchaguzi wake mkuu. Katika pita pita zetu za hapa na pale, tumekuandalia ripoti hii inayoletwa kwako na mwandishi wetu Anne Mawathe.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: