AfyaCheck 08Feb2023 Magonjwa ya mifupa (Part 2)
Автор: AfyaCheck
Загружено: 2023-02-08
Просмотров: 884
Kwenye AfyaCheck wiki hii Dr Isaac Maro yuko na Dr. Shilekirwa Makira, daktari bingwa mifupa na upasuaji kutoka kliniki ya kibingwa ya ELCT Luther Polyclinic ya kanisa la KKKT Kimara, Dar es Salaam akifafanua kwa kirefu kuhusu maradhi yahusuyo mifupa hususani tatizo la kuvunjika kwa mfupa wa nyonga kwa kinamama, maumivu ya mgongo pamoja na kulika kwa pingili za uti wa mgongo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: