JKT Queens vs Bunda Queens | Mechi yashindikana, Bunda Queens yashindwa kutokea uwanjani
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-08
Просмотров: 386
#TWPL Mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake Tanzania Bara kati ya JKT Queens na Bunda Queens haujafanyika kutokana Bunda Queens kutofika uwanjani.
JKT Queens walimefika dimbani Meja Jenerali Isamuhyo kwa wakati na taratibu zote kufuatwa, kabl aya waamuzi kuhitimisha mchezo huo kama inavyoonekana hapa….
Uamuzi kuhusu mchezo huu utatolewa baadaye…
#TWPL #WPL #TanzaniaWomenPremierLeague #LigiKuuWanawake
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: