Jifunze jinsi ya kukata na kushona sketi ya penseli yenye ubunifu wa kipekee/Denblessing Creations
Автор: Denblessing Creations
Загружено: 2025-09-22
Просмотров: 13168
Karibu Denblessing Creations,Leo nimekuandalia tutorial ya sketi ya penseli ya kipekee yenye ubunifu wa kisasa na mvuto wa kipekee.
Hii sketi unaweza kuvaa kazini,kwenye sherehe au hata matukio ya kila siku na bado ukaonekana nadhifu na wa kuvutia.
Usisahau kusabscribe,kulike,na kushare video hii ili kupata ubunifu mpya kila wiki.
Back ground music
Song: Lay down beside you
Singer: Carl storm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: