RAIS SAMIA Amsaidia MAKONDA Arusha I atoa dawa za Milioni100 Kambi ya matibabu bure
Автор: Gilly Bonny Tv
Загружено: 2024-06-26
Просмотров: 348
RAIS SAMIA Amsaidia MAKONDA Arusha I atoa dawa za Milioni100 Kambi ya matibabu bure
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutekeleza ahadi yake na dhamira yake ya upatikanaji wa huduma bora za afya, ametoa dawa zenye thamani ya zaidi ya Milioni 100 kutoka mamlaka ya dawa nchini (msd) kupelekwa mkoani Arusha na kutumika katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi iliyoketi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa muda wa siku 7 kuanzia Juni 24 hadi Juni 30, 2024.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda wakati akizungumza na maelfu ya wananhi walionesha muitikio mkubwa katika kujitokeza kupata vipimo na matibabu kupitia kambi hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: