Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

WEMA SEPETU: Alamba Dili Lingine La Nguvu

Автор: Global TV Online

Загружено: 2018-05-09

Просмотров: 1184

Описание:

WEMA SEPETU: Alamba Dili Lingine La Nguvu

UNAWEZA kusema huu ni mwaka wa neema kwa staa wa Filamu Bongo, Wema Sepetu, kwani baada ya wiki iliyopita kulamba dili la Kombe la Dunia kutoka kwa StarTimes, leo tena amelamba shavu jipya kutoka Kampuni ya The Network ambayo ni kampuni mama inayoendesha mchezo wa namba wa Tatu Mzuka nchini kwa kumtangaza kuanzisha naye ushirikiano wa kibiashara.

Akizungumza wakati wa kumlambisha shavu hilo rasmi, mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga, alisema ushirikiano wao na Wema ni mpango mkakati wa Tatu Mzuka wa kufanya kazi bega kwa bega na Watanzania ili kuboresha maisha yao.

“Kusudi kubwa la Tatu Mzuka kuingia makubaliano na Wema, ina lengo la kutaka kusambaza fursa kwa watu wengi kadri iwezekanavyo ili kuboresha maisha yao ya kila siku.

“Ushirikiano huu ni kati ya ushirikiano mbalimbali ambao tumekuwa tukijihusisha nao huko nyuma, hivyo basi Watanzania watambue kuwa muda mwingi tunaangalia kipaji kipi ambacho tunaona kinaendana na bidhaa yetu na kuanzisha ushirikiano kwa kibiashara kama ilivyo leo hii kwa Wema,” alisema Maganga.

Kwa upande wake Wema amesema kuwa: “Nina hamu kubwa ya kuanza kuwashirikisha bidhaa hii mashabiki zangu wote na Watanzania kwa ujumla wao ili waweze kujitengenezea fursa nyingi za kuboresha maisha yao kupitia kwangu.

“Hivyo ningependa kuanzia sasa mashabiki zangu wote wachangamkie Tatu Mzuka kwa kucheza kwa njia ya kuingiza namba ya kampuni ambayo ni 555111 na baada ya hapo unaweka namba zako tatu za bahati kisha unaandika jina langu yaani WEMA na unaingiza kuanzia kiasi cha shilingi 500 hadi kiasi kisichozidi elfu 30,000, kisha unatuma na utakuwa umejipatia nafasi kubwa ya kushinda hadi shilingi milioni 260,” alisema Wema.

Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

WEMA SEPETU:  Alamba Dili Lingine La Nguvu

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

VITASA | Hassan Mwakinyo vs Stanlay Eribo | Boxing on Boxing Daya 26/12/2025

VITASA | Hassan Mwakinyo vs Stanlay Eribo | Boxing on Boxing Daya 26/12/2025

LAIZER AFUNGUKA!  Sakata la Mlinzi wa Diamond na Sarah

LAIZER AFUNGUKA! Sakata la Mlinzi wa Diamond na Sarah

🔥 ЛЮБОВЬ ИЛИ БРАК ПО РАСЧЁТУ? НЕВЕРОЯТНАЯ ПРЕМЬЕРА О ЛЮБВИ, СЧАСТЬЕ И СЕМЕЙНЫХ ИНТРИГАХ | Новинки

🔥 ЛЮБОВЬ ИЛИ БРАК ПО РАСЧЁТУ? НЕВЕРОЯТНАЯ ПРЕМЬЕРА О ЛЮБВИ, СЧАСТЬЕ И СЕМЕЙНЫХ ИНТРИГАХ | Новинки

''KILA GOLI 1 SHILINGI MILIONI 100'' - MAKONDA MBELE ya WACHEZAJI wa TAIFA STARS...

''KILA GOLI 1 SHILINGI MILIONI 100'' - MAKONDA MBELE ya WACHEZAJI wa TAIFA STARS...

Miss Tanzania 2016 Ampasulia  Jipu Miss Kenya

Miss Tanzania 2016 Ampasulia Jipu Miss Kenya

BAADA ya CATHELINE KUMLILIA KAKA YAKE kwa UCHUNGU HATIMAYE AMEACHIWA HURU na MAISHA YAMEANZA UPYAAA!

BAADA ya CATHELINE KUMLILIA KAKA YAKE kwa UCHUNGU HATIMAYE AMEACHIWA HURU na MAISHA YAMEANZA UPYAAA!

"Unia padnie, czy nam się to podoba, czy nie”. Ostre słowa Jakubiaka

НОВЫЙ ВОСХИТИТЕЛЬНЫЙ ФИЛЬМ 2025!  ТОЛЬКО ВЫШЕЛ!  НА РЕАЛЬНЫХ СОБЫТИЯХ! РАДУГА ЖИЗНИ

НОВЫЙ ВОСХИТИТЕЛЬНЫЙ ФИЛЬМ 2025! ТОЛЬКО ВЫШЕЛ! НА РЕАЛЬНЫХ СОБЫТИЯХ! РАДУГА ЖИЗНИ

🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 25, 2025 - WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA KUSAFIRISHWA.

🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 25, 2025 - WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA KUSAFIRISHWA.

Rymanowski, Lewandowski: Prawdziwy Lewandowski

Rymanowski, Lewandowski: Prawdziwy Lewandowski

"W Polsce ceny są zachodnie, a płace wschodnie”. Wielka kłótnia o sens podwyżek

SZKOŁA ODC. 173 CZ. 3

SZKOŁA ODC. 173 CZ. 3

⚡️У Путина ПУБЛИЧНО ЗАГОВОРИЛИ о ПОБЕДЕ в

⚡️У Путина ПУБЛИЧНО ЗАГОВОРИЛИ о ПОБЕДЕ в "СВО"! Скабеева УМОЛЯЕТ ОСТАНОВИТЬ ВОЙНУ.Москва ДАЛА АНОНС

MAUNO ya ALIKIBA MBELE YA MASHABIKI - APIGA SHOW YA HATARI MOROGORO - AONESHA UFALME WAKE...

MAUNO ya ALIKIBA MBELE YA MASHABIKI - APIGA SHOW YA HATARI MOROGORO - AONESHA UFALME WAKE...

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 26.12.2025 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 26.12.2025 | TV Republika

Китай вскрыл Луну: Что на самом деле нашли на обратной стороне?

Китай вскрыл Луну: Что на самом деле нашли на обратной стороне?

ЖАЛЬ, ЧТО НЕ ЗНАЛ РАНЬШЕ! ВСЕ БОЛЕЗНИ ИЗ-ЗА ЗАСТОЯ В ЛИМФЕ! Как Разгонять Лимфу Эффективные Методы

ЖАЛЬ, ЧТО НЕ ЗНАЛ РАНЬШЕ! ВСЕ БОЛЕЗНИ ИЗ-ЗА ЗАСТОЯ В ЛИМФЕ! Как Разгонять Лимфу Эффективные Методы

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

⚡СРОЧНО! Ответ Кремля на МИРНЫЙ ПЛАН. ЯКОВЕНКО расставил точки над

⚡СРОЧНО! Ответ Кремля на МИРНЫЙ ПЛАН. ЯКОВЕНКО расставил точки над "і". Вот что задумал Путин

⚡️ Командный пункт ВСУ захвачен || Военный переворот в Украине?

⚡️ Командный пункт ВСУ захвачен || Военный переворот в Украине?

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]