Profesa Janabi Ataja idadi ya waliowekwa puto, Muhimbili kuanza huduma upandikizaji mimba
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-06-20
Просмотров: 2196
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza huduma za upandikizaji mimba kupitia maabara mwakani baada ya mchakato muhimu kukamilika.
Akizungumza na Mwananchi Digital katika mahojiano maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Profesa Mohamed Janabi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki amesema kabla ya mwisho wa mwaka huu wataanza cliniki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: