TANZANIA KUANZA KUUZA UMEME KENYA, WAZIRI AKERWA NA UJENZI HUO UNAVYOCHELEWESHWA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-02-17
Просмотров: 3053
Nchi ya Tanzania inatarajia kuuza umeme katika nchi ya Kenya na Zambia baada ya kuka milika kwa mradi wa ZTK ambapo waziri wa Nishati Medard Kalemani amekerwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo ambao unajengwa katika eneo la Leguruki mkoani Arusha nakutaka mradi huo ukamilike mwei may mwaka huu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: