RC KHERI JAMES ATAKA ELIMU YA UGANI IWE MSINGI WA MAGEUZI SEKTA YA MIFUGO IRINGA
Автор: iringa mpya
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 6
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka maafisa mifugo katika halmashauri zote za wilaya mkoani humo kuongeza kasi ya utoaji wa elimu ya ugani kwa wafugaji, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuleta mageuzi ya kweli kwenye sekta ya mifugo na kuchangia ukuaji wa uchumi kwa wadau wa sekta hiyo pamoja na jamii kwa ujumla.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: