KIPYENGA CHA MWISHO 18/09/2025 | Uhalali wa goli la Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii 2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 346238
KARIAKOO DEEBY | Fahamu ukweli kuhusu matukio yote yaliyozua utata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba uliopigwa Septemba 16, 2025.
Moja kati ya matukio yaliyozua gumzo ni goli pekee walilofunga Yanga na kuamua mshindi wa Ngao ya Jamii 2025.
Osman Kazi na jopo lake wanamaliza utata kwa kutumia sheria na kanuni za soka
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: