Nyegezi sda choir - TULIZA MIOYO (official Video )
Автор: Nyegezi SDA Choirs
Загружено: Дата премьеры: 4 апр. 2025 г.
Просмотров: 83 992 просмотра
Nyegezi sda choirs
STANZA 1. Umetupa talanta kila mmoja ili tuifanye kazi yako japo kwa njia tofauti kusudi tufanye kazi yako tumehudumu japo katika changamoto nyingii Shetani hapendi tuhubiri neno lako anapitia njia tofauti ili tusifanye kazi yako.
STANZA 2. Kuna wakati mwingine tunatenda mambo mema watutazamao wakiyaona huanza kutusifia Baba usiruhusu tuwe na kiburi mioyoni mwetu. Twaomba twaomba tuliza mioyo yetu, twaomba ingia ndani ya mioyo yetu.
STANZA 3. Twawaombea washiriki wenzetu wanaofanya kazio ya Bwana japo kwa njia tofauti endelea kutubariki sote utushindiye sote tunapopatwa na majaribu tukumbuke katika ufalme wako utakaporudi tuwezeshe tupiganie utushindie hila za mwovu.
Baba usiruhusu tuwe na kiburi mioyoni mwetu, twaomba, twaomba ahh tuliza mioyo yetu, twaomba, ingia ndani ya mioyo yetu.
Utushindie sote tunapopatwa na majaribu, tukumbuke katika ufalme utakapoorudi tuwezeshe tupiganie utushindie hila za mwovu.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: