Watenga Wanafunzi Qubaa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2015-05-11
Просмотров: 7726
Shule moja katika kaunti ya mombasa inatuhumiwa kwa kuwafukuza wanafunzi ambao wamelemewa na masomo pindi wanapofika darasa la nane. Baadhi ya wazazi ambao watoto wao wako katika shule ya msingi ya Qubaa wanalalamika kuwa usimamizi wa shule hiyo umeaagia kuwatafuta watoto wao shule mbadala kwasababu ya alama duni walizopata ili wasifanyie mtihani wa kcpe katika shule hiyo. Hata hivyo usimamizi wa shule hiyo umekanusha hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: