Kuna Yule Aliyenipenda | Yesu Rafiki Mwema | Naiwe Maombi
Автор: Sounds of Afrika
Загружено: 2025-06-21
Просмотров: 441731
[Verse 1]
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanyonyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala asinzi hata leo hajawahi kunichoka
[Chorus]
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanyonyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala asinzi hata leo hajawahi kunichoka
[Verse 2]
Sikumtafuta, ni yeye aliyekuja kwangu
Ingawaje dhambi, makosa yangu
Yesu, alinipenda kwanza
ni kamwamini
Yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake, Yesu wanitosha
[Chorus]
Sikumtafuta, ni yeye aliyekuja kwangu
Ingawaje dhambi, makosa yangu
Yesu, alinipenda kwanza
nikamwamini
Yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake, Yesu wanitosha
[Bridge]
Yesu, huyu Yesu rafiki mwema
Yesu, huyu Yesu ninampenda
Yesu, huyu Yesu rafiki mwema
Yesu, huyu Yesu ninampenda
[Outro]
Yesu Kristo Bwana wangu ni rafiki mwema
(Tumwambie Yesu Yesu)
Yesu, huyu Yesu ninampenda
(Haleluya Yesu)
(Sijaona kama wewe)
(Ninampenda)
(Tumwambie Yesu Yesu)
(Bwana wangu)
(Huyu Yesu rafiki mwema)
(Ulinipenda tangu mwanzo Baba)
(Haukujali uchafu wangu)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: