BALOZI DKT. MOSES KUSILUKA ATAKA ONGEZEKO LA GAWIO KWA SERIKALI
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-03-31
Просмотров: 734
Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka amewapa mwongozo wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo Serikali ina hisa chache kuangalia namna wanavyoweza kuongeza ufanisi na gawio kwa Serikali.
Dkt. Kusiluka ametoa rai hiyo katika hafla ya kufunga mafunzo ya siku tatu ya wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo Serikali inaumiliki wa hisa chache yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: