'Wakulima wanalalamika mbegu walizopewa hazikuota'-Mbunge Doto Biteko
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-06-16
Просмотров: 2586
Wakati tukiendelea kuzipokea headlines za bungeni Dodoma wakati wabunge wakijadili bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 nakusogeza karibu na mbunge wa Bukombe Doto Biteko aliyepata nafasi ya kuwasilisha maoni yake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: