🔴
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2025-08-01
Просмотров: 1247
🔴#LIVE: Mtu Aliyepewa Neema na Anachukiwa na Allah | Khutba ya Ijumaa
Sheikh Ibrahim Kishk
Tarehe: 01 August 2025
Masjid: Ambiyaa Mtaa wa Boko, Wailes
Katika khutba hii, tutajifunza:
🕌 Umuhimu wa kutenda wema kwa watu wote – Waislamu na wasio Waislamu
🌙 Malipo ya wema duniani na Akhera
❤️ Athari ya matendo mema katika jamii
📿 Hadithi na aya zinazohimiza kutenda wema
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: