“Msituhukumu Wote!” – Wasomali Walia Baada ya Vijana Wakanyaga Bendera ya Kenya!
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-09-26
Просмотров: 47994
Vijana wawili wa klabu ya Mogadishu City FC walizua hasira kubwa baada ya video yao kusambaa wakikanyaga bendera ya Kenya kwenye mechi ya mpira. Kitendo hiki kimeamsha mjadala mzito kati ya Wakenya na Wasomali, huku viongozi na raia wa pande zote wakitoa maoni yao.
Katika video hii tunakuonesha kauli tofauti:
👉 Wengine wa jamii ya Kisomali wakitoa msamaha kwa wananchi na serikali ya Kenya.
👉 Wengine wakipinga vikali kitendo hicho na kudai vijana hao wachukuliwe hatua.
👉 Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen pia amezungumza kuhusu sakata hili.
Je, tukio hili linaweza kuharibu uhusiano wa Kenya na Somalia, au ni jambo dogo tu lililochochea hisia za wananchi?
Tazama video hii hadi mwisho ujue kauli nzito kutoka pande zote.
#KenyaVsSomalia #BenderaYaKenya #Murkomen #MogadishuFC #HabariZaSiasa #MizukaMedia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: