Makomando wa TZ wakipambana bila bunduki
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-12-09
Просмотров: 2073166
December 9 2016 zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa mgeni Rasmi.
Mbele ya Rais Magufuli Makomandoo wa JWTZ walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ikiwamo pamoja na namna ya kukabiliana na adui.
VIA AZAM TV.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: