Kwikala na ngai (by Catherine musee)
Автор: Catherine Musee
Загружено: 2025-12-04
Просмотров: 112
“Mimi nimeonja wema wa Yesu mwenyewe. Amani aliyonipa haifanani na kitu chochote nilichowahi kupata hapo awali. Mwili wangu alipokuwa dhaifu, aliniponya. Nafsi yangu alipokuwa na mzigo, alinipa pumziko la kweli. Ndiyo maana nawaita nyote—mje muone jinsi alivyoko mtamu na mwema. Yale aliyonifanyia mimi, anaweza kuwafanyia ninyi pia.”#Yesu #Amani #PumzikoLaMaisha
#Ushuhuda #Uponyaji #Neema
#Injili #Muumini #Imani
#WemaWaYesu #MuiteYesu
#MtamuKweli #GospelMusic
#NenoLaFaraja #Baraka
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: