MTOTO WA AJABU NA BIBI MCHAWI 2024 | 6 | FULL MOVIE HD | Tamthilia mpya Tanzania
Автор: STAR WA AFRICA TV
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 25824
MTOTO WA AJABU NA BIBI MCHAWI 2024 | 6 | FULL MOVIE HD | Tamthilia za kiswahili
MTOTO WA AJABU NA MAMA WA KAMBO | Episode 01 | 2025
“Karibu kwenye tamthilia ya kusisimua – Mtoto wa Ajabu na Mama Wa Kambo! Hii ni hadithi ya mtoto anayeishi kwa mateso mikononi mwa mama wa kambo na mdogo wake, hadi siku anapokutana na bibi mmoja wa ajabu… Je, maisha yake yatabadilika? Tafadhali subscribe, like na enjoy sehemu ya kwanza!”
Katika sehemu hii ya kwanza ya tamthilia yetu mpya Mtoto wa Ajabu na Mama Wa Kambo, tunaanza safari ya huzuni, manyanyaso na hatimaye matumaini. Mtoto huyu anaishi na mama wa kambo baada ya baba yake kusafiri. Mama huyu na mwanawe wanampa mateso ya kila aina, lakini je, mambo yatabadilika?
🎬 Tazama hadi mwisho ujue bibi huyu wa ajabu ni nani...
🔔 Subscribe kwa parts nyingine!
Karibu kwenye *Mtoto wa Ajabu – Star wa Africa TV*!
Hii ni sehemu ya MTOTO WA AJABU 2025 – Episode 01
Hii tamthilia ya Kiswahili inakuletea visa vya kusisimua, mapenzi, msaliti, na maisha ya kifamilia yenye mafundisho na burudani.
Kila wiki tunakuletea *tamthilia mpya za Kiswahili na drama kali za Kiafrika* kutoka Afrika Mashariki na duniani kote.
📌 USISAHAU:
✅ Ku-Subscribe kwa channel yetu ➡ / @starwaafrica
✅ Kulike video hii 👍
✅ Kushare kwa marafiki na familia
✅ Kuandika maoni yako hapa chini 💬
#MtotoWaAjabu2024
#MamaWaKambo
#Tamthiliampya
#bibimchawi
#TamthiliaMpya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: