TANZANIA KUINGIA KATIKA MFUMO WA SARAFU ZA KIDIGITALI
Автор: Uyui FM Radio
Загружено: 2021-11-25
Просмотров: 19969
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha nchini, ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) - Ukumbi wa Jakaya Kikwete leo tarehe 25 Novemba, 2021.Pamoja na mambo mengine amezungumzia sekta za fedha ulimwenguni kuingia katika mfumo wa kidigitali ikiwemo Tanzania.
#RaisSamia #Tanzania #RaisSamiaSuluhuHassan
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: