EE BWANA TWAKUOMBA UPOKEE- ERNESTUS OGEDA
Автор: Fabby Michael
Загружено: 2023-02-07
Просмотров: 6481
Karibu sana mpendwa kuangalia wimbo huu ukichezwa kwenye kinanda katika funguo mbili tofauti ( Eb na E#) E-flat na E- natural major
Wimbo: Ee Bwana twakuomba upokee
Mtunzi: Ernestus Ogeda
Organist: Fabiano M Joseph
"Ee Bwana twakuomba upokee vipaji vyetu tunavyovileta mbele yako, twakuomba uvipokee vipaji vyetu Bwana twakusihi uvipokee vipaji vyetu"
🙏
Usisahau kusubscribe tafadhali
Barikiwa sanaa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: