Tanzania Inatikisika: Kauli Nzito Za Viongozi Zazua Maswali Makubwa
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 11449
Tanzania inatikisika baada ya kauli nzito kutoka kwa viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati mashuhuri. Katika video hii tunakuletea maoni makali ya Dr. Charles Kitima, John Heche, Mika Chavala, na Mange Kimambi, ambao wote wamezungumza kuhusu kile wanachokiita matukio mazito yanayoendelea ndani ya Tanzania.
Tutaangazia:
Kauli ya Dr. Kitima kuhusu ukweli wa watu waliouawa kwa risasi za moto
John Heche akidai walioua lazima wawajibishwe haraka
Mika Chavala akihoji wapi viongozi na wazalendo wakati taifa linahitaji sauti zao
Mange Kimambi akifichua kesi ya uchumi aliyopewa na serikali
Hii ni picha halisi ya maoni ya Watanzania kuhusu serikali, haki, ukatili, uwajibikaji na mustakabali wa taifa.
Kwa watazamaji wa Tanzania 🇹🇿, Kenya 🇰🇪, na diaspora—video hii ni muhimu sana kujua sauti za wananchi zinazoendelea kutawala mitandaoni na kwenye vyombo vya habari.
👇 Tuambie kwenye comments:
Je, unadhani hizi kauli zinaonyesha Tanzania iko katika mabadiliko makubwa au katika hatari?
#TanzaniaInatikisika #WatanzaniaWanasema #TanzaniaPolitics #MizukaMedia #EastAfricaNews #HabariZaSasa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: