HAFLA YA UFUNGUZI WA MAONESHO YA SITA YA WIKI YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR, JULAI 17, 2025
Автор: TCU TV Tanzania
Загружено: 2025-07-20
Просмотров: 58
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeshiri hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Elimu ya Juu Zanzibar iliyofanyika Julai 17, 2025 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja. Katika hafla hiyo, mgeni rasmi ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali - Zanzibar, Mhe. Lela Muhamed Mussa. Aidha, Mwenyekiti wa TCU, Dkt. Leonard Akwilapo pamoja na Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa wamehudhuria hafla hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: