KUTOKA UBAO NA CHAKI HADI SKRINI ZINAZONG'AA, ELIMU SASA NI BURUDANI TUNDURU
Автор: tunduru_dc
Загружено: 2025-09-10
Просмотров: 30
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tunduru, ambao wamezoea mazingira ya kawaida ya kujifunza, sasa wanashuhudia mapinduzi ya elimu kwa kutumia Darasa Janja, zana mpya iliyoingia darasani na kuleta uhai mpya.Walimu wanatumia televisheni hizi janja kuonyesha masomo kwa njia ya video, picha, na michoro. Badala ya kutumia chaki na ubao pekee, walimu sasa wanaweza kuwapa wanafunzi uzoefu wa kujifunza unaovutia na unaowahusisha zaidi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: