DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 19.01.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 2924
Katika Matangazo ya Mchana utasikia
++Onyo lililotolewa na Mataifa ya Ulaya kuhusu vitisho vya ushuru vya Rais Donald Trump juu ya Greenland kwamba vinahatarisha hali ya kiuchumi.
++Huduma za intaneti nchini Uganda bado zingali chini hata baada ya uchaguzi kukamilika.
++Gumzo kubwa pia ni ushindi wa Senegal wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON baada ya kuwachapa wenyeji Morocco bao 1-0 katika mechi iliyokuwa na msisimko, vituko na mivutano.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: