SUNDAY CHURCH SERVICE | KUDAI HAKI YAKO
Автор: THE DREAMERS CENTRE TZ CHURCH
Загружено: 2025-09-07
Просмотров: 114
Karibu kwenye Ibada ya Jumapili yenye nguvu na baraka tele!
Mhubiri wa leo ni Pastor Christina Shusho akiongozwa na neno kutoka Joshua 17:14-18 – "Kudai Hatima Yako"️
🙌 Hii ni nafasi yako ya kuinuliwa kiroho, kubarikiwa, na kuimarishwa katika imani. Usikose kushiriki ibada hii ya kipekee ambapo Mungu anatenda mambo makuu!
📍 Mahali: The Dreamers Centre, Manzese – Tip Top
🕒 Muda: Saa 3:00 Asbh – Saa 7:00 Mchana
📞 Mawasiliano: +255 744 570 392
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: